BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Trump akataa mpango wa amani, Iran yasubiri hatua ya Marekani
Iran yasema makubaliano hayo yanaweza kufungua tena Hormuz na kusitisha mapigano ndani ya siku saba.
Ni vyakula gani unapaswa kuhifadhi kwa ajili ya dharura?
Mabadiliko ya tabianchi, milipuko ya magonjwa, mashambulizi ya mtandaoni na migogoro vinaweza kuvuruga upatikanaji wa chakula. Wataalamu wanashauri kuhifadhi vyakula vya muda mrefu kama nafaka, kunde, karanga, samaki wa makopo na maziwa, huku ukiepuka vyakula vyenye chumvi na sukari nyingi.
Manchester City yapatikana na hatia ya kukiuka kanuni za kifedha
Kwa mujibu wa ripoti ya The Athletic, hatua za adhabu bado hazijaamuliwa, lakini jopo huru lililokuwa likichunguza kesi hiyo limefikia uamuzi wake na kuikuta klabu hiyo na hatia katika mashtaka yote isipokuwa shtaka moja.
Kwa nini mtu tajiri zaidi Afrika anataka kuuza sehemu ya himaya yake?
Mfanyabiashara bilionea Aliko Dangote ameanzisha mauzo makubwa zaidi ya awali ya hisa kuwahi kufanyika barani Afrika, baada ya kampuni yake ya kusafisha mafuta kuorodheshwa katika Soko la Hisa la Nigeria.
Intaneti yaminywa baada ya mapigano kuzuka Tigray, Ethiopia
Hatua ihiyo inahofiwa huenda ikavuruga shughuli za kiuchumi na kuongeza mzozo wa kibinadamu huku mapigano yakizidi kuenea.
Lissu Mahakamani: 'Maneno hayawezi kuwa matendo'
Kwa siku ya tatu hii leo Lissu anaendelea na majumuhisho juu ya kesi inayomkabili baada ya hatua ya ushahidi kumalizika kwa pande zote mbili. Alianza kugusia sheria na kanuni, anaendelea kugusia ushahidi
Nini hutokea unapozidisha dozi ya paracetamol?
Dalili za awali za sumu ya paracetamol zinaweza kujumuisha kichefuchefu, kutapika na maumivu ya tumbo.
Vita vya Tigray: Kwa nini ni muhimu kujua vita vinavyoendelea Ethiopia
Mapigano yamezuka tena kaskazini mwa Ethiopia, tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe katika eneo la Tigray kusitishwa kupitia Mkataba wa Pretoria.
"Sikujua mpenzi wangu alikuwa akinibaka ninapolala "
Adelle Overton alikuwa katika uhusiano na Steven Uden kwa miaka 13 kabla ya kugundua kwamba alikuwa akimbaka alipokuwa amelala.
Mabilionea duniani wanavyopambana kuishi milele
Matajiri wakubwa wanaendelea kutumia mamilioni ya dola kutafuta njia ya kuishi milele kwa nini basi mafanikio halisi ya kisayansi hayapati ufadhili?
Jezi za Taifa Stars: Makonda anaishia wapi, Serikali inaanzia wapi na TFF inaingia wapi?
Kama Taifa Stars ni timu ya taifa, je, Waziri mwenye dhamana ya michezo ana haki ya kusema jezi yake haifai? Na kama TFF ndiyo yenye jukumu la kuendesha soka, Waziri anaweza kuingilia mkataba wake na kampuni inayotengeneza jezi?
Wanasayansi waja na nguo ya ndani inayotambua mara ngapi unatoa ushuzi
Sensa mpya inayovaliwa ndani ya nguo za ndani hukaa kwenye nguo yako na kunusa gesi unazotoa, kwa matumaini ya kubaini dalili zinazoweza kueleza afya ya utumbo wako.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mama Fatma Karume: Mwanamke aliyeipika Zanzibar jikoni na kibarazani
Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia Jumatatu, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97.
Je, TikTok na Reels zinaharibu umakini na kumbukumbu za vijana?
Utafiti unaonyesha kuna uhusiano kati ya matumizi makubwa ya video fupi na matatizo ya umakini, kumbukumbu na kujidhibiti miongoni mwa vijana, ingawa bado hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba video hizo husababisha uharibifu wa kumbukumbu.
Jinsi Mecca na maeneo mengine matakatifu yanavyolindwa
Mfumo wa Patriot ulipelekwa katika miji hiyo kwa ajili ya kulinda maeneo matakatifu kama Makka na Madina.
Kisiwa kinachojiandaa kwa vita visivyoonekana
Jammertest hafla ambayo huandaliwa kila mwaka na mamlaka za Norway. Ni tukio ambalo hufanyika hadharani, linalohusisha majaribio ya kuvuruga na kudukua mifumo ya mawasiliano, na hufanyika katika kisiwa cha mbali, takriban kilomita 300 kaskazini mwa Mstari wa Aktiki.
Je, kuna viumbe kwenye sayari nyingine?
Katika utafiti wa hivi karibuni, asilimia 86.6 ya wataalamu wa astrobiolojia walisema wanakubaliana kwamba huenda kuna uhai nje ya dunia.
Wanasiasa 7 barani Afrika wanaokabiliwa na mashtaka ya uhaini
Kesi za hivi karibuni zinazohusisha mashtaka ya uhaini au vitendo vinavyotishia usalama wa taifa, zimeibua maswali kuhusu iwapo walio madarakani wanalinda usalama wa taifa au wanatumia mfumo wa haki kudhoofisha wapinzani wao.
Mambo 3 ambayo familia yako inapaswa kufanya sasa kuhusu El Nino
Afrika Mashariki Kusini mwa Afrika, ni miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuwa katika hatari kubwa. WFP inasema zaidi ya watu milioni 18 katika ukanda huo wanaweza kukumbwa na uhaba wa chakula, ikiwa ni ongezeko la asilimia 26.
Kwa nini IPU ni fursa nyingine adhimu kwa Tanzania?
Tanzania inajiandaa kuwa mwenyeji wa mamia ya wabunge kutoka sehemu mbalimbali duniani wakati Arusha itakapofanyika Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba 2026.
Viongozi 10 wa Afrika waliouawa wakiwa madarakani
Viongozi wengi wa Afrika wamewahi kuuawa wakiwa madarakani. Kati ya matukio mengi yaliyoandikwa katika historia ya bara hili, haya hapa ni matukio 10 makuu yaliyotazamwa na BBC.
Mambo 7 yaliyotikisa mjadala wa siasa Tanzania
Tanzania imekuwa katika kipindi cha mijadala mikali kuhusu uelekeo wa siasa za nchi, hasa baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 na matukio yaliyofuatia.
Je, Iran inaweza kutega mabomu katika mlango bahari wa Hormuz?
Mvutano huo mpya unaongeza wasiwasi kuhusu usalama wa eneo la Ghuba na hatari ya kuongezeka kwa mzozo ambao unaweza kuathiri biashara ya kimataifa na usambazaji wa nishati duniani.
Siri ya mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi duniani
Ethel Caterham, mwenye miaka 117, ndiye mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani aliye hai. Makala haya yanaangazia maisha yake pamoja na watu wengine waliowahi kushikilia rekodi hiyo, akiwemo Jeanne Louise Calment aliyefikisha miaka 122.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 28 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 25 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 25 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 25 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































